Nikki Mbishi fans special thread

naona mziki umekushinda nikki...huku hatutoi kiki nenda insta kwa vibahasha vyako.
Sibishana na machoko mkuu Nikki jangiri huniviki / bangiri sina jamaa wala rafiki mm sio Nikki wa pili
 
Sibishana na machoko mkuu Nikki jangiri huniviki / bangiri sina jamaa wala rafiki mm sio Nikki wa pili
mistari haina vina,wala mizani/
umeshindwa vita,eti unajifanya hubishani/
unashuka thamani..sergio we mtoto wa pwani,worldboss in tha house nakuficha kizani/
 
mistari haina vina,wala mizani/
umeshindwa vita,eti unajifanya hubishani/
unashuka thamani..sergio we mtoto wa pwani,worldboss in tha house nakuficha kizani/
Sitaki battle na ma mc wachovu/
Wasiofikia hata roho ya uwezo wa Jizi mabovu/
 
Kila siku kwangu ni birth day/
Nafanya great things in the worse way/
 
Sitaki battle na ma mc wachovu/
Wasiofikia hata roho ya uwezo wa Jizi mabovu/
naku_click kama button/
usiku nightmares nakutisha kama satan/
worldboss mi kigogo kwa rap naanzisha zogo nachezesha fake mcees visingeli mpaka tupogo/
 
naku_click kama button/
usiku nightmares nakutisha kama satan/
worldboss mi kigogo kwa rap naanzisha zogo nachezesha fake mcees visingeli mpaka tupogo/
Pumba mistari ya kichoko choko
 
Hutaweza kuniangalia
wakati hakuna chochote kilichobakia

unafika wakati siwezi kusikika kushika chat mashaka bila muafaka sadaka bila ya data napanda ngazi
masikini tajiri anashuka chini huamini niulize mimi migodi imeisha madini
demu ako anakutosa unakosa vyote unakonda unaanza kuwaza kujinyonga unauchoka usugu wa kidonda
pekeako nyikani na umande tele

........



nini mnataka mazee mafans hawakujibu
zamani walijibu rhymes leo imebaki aibu
kurise na kufall recognize my flow
rafiki anaegeuka nyoka ana fertilize your soul
label inakutosa na haikupi mkataba tena
kila mchongo unavaba unaanza kaba kama ngwena
au don ka. coz life is like dice game nothing to surprise
and soon unaloose your nice fame maisha yanachange duke anaachia production
Mbishi anaendesha range redioni sex corruption
grace haimbi tena haendelezi game kaitema
One Mr entertainer kajiunga siasa Chadema
wanaibuka watoto wasiojua maana ya muziki
na usela wa misokoto michosho kwa mashabiki
harakati haraka waraka hauna tamati
hizi nyakati za mashaka jiandae kuvutwa shati

......,,.
dingi anastaafu kazi nyumbani inaanza mizengwe
visa mikasa tele kelele fujo na mbwembwe daily pombe anayumba
majukumu ni uzushi anawaza kuiuza nyumba
watoto wakaishi bush kila kukicha jipya jambo dogo anafoka
nachoka Mbishi nakipa nyumbani naamua kuondoka
sijui nnapokwenda nasepa simuagi yoyote
namuomba Mungu ujasiri nipate hifadhi popote mama ananiota mimi kwa maisha ya Dama na yake
nainama na ungama chini kwani mimi ndio jembe lake
nageuka kulia naumia kumuona Malcolm akiita baba kwa hisia
dad please come back home when am gone just carry on
and phone nageuka kisha namjibu jifunze kustay alone
niombeeni baraka asie tafuta hapati hizi nyakati za mashaka jiandae kuvutwa shati
 
"Aa nikijificha wapi utanipa-tako/

Ka'pesa hazitoshi siwezi ridhika na nikipatacho/

Unataka kujuwa nitakacho kuwa mpole/

Yaani ka'mzee wa upako inamaana kuwa mlokole/
 
Kwanini unasema Nikki mbishi ni real MC's?
 
naku_click kama button/
usiku nightmares nakutisha kama satan/
worldboss mi kigogo kwa rap naanzisha zogo nachezesha fake mcees visingeli mpaka tupogo/
Ha ha ha kitambo sijaona uandishi mbovu kama huu eti naku click kama button
Ndo yaleyale sijui nini "George anarudi bush"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…