Nikki Mbishi fans special thread

Unga waya kwenye spika/nitafutie mal@y@ sinyorita /nafuu wagogo kuliko Wahaya wanavyosifika...
 
shida ni hizi media za kibongo, nashanga joh makini anaimba mara nadinda mara napeleka mafekeche dsm sijui nn lakini anavyopata airtime utafikiri yule mkulu wa magogoni
 
Unju bin Unuk, Babu Bomba. Zohan. Utingo Shaks. Ongezeeni na nyie
 
Unju bin unuk
Zohan
Baba malco
.huyu jamaa ana majina kibao..

Ngoma zake kali ni
Sauti ya jogoo
Baba yao
Pesa kwanza
Kijusi
Nyakati za mashaka
Natoka Tanzania
Na nyingine kibao
 
oi oi oi oi niajee wanaa tumeni ngoma chap za mwamba Nikk chap tushushee
 
"Nilikuwa na demu wa stereo chobingo yes ni wife material ugingo anakitu moja terrible bolingo basi pungumuza mama hivyo isidingo"

"Nilikuwa na demu wa dudu baya waaap,Mtoto mtamu kama kuku wa dawa Sasa anawaza kutugawa"


Ndoto toka usingizini-zohan.
 
"Wacha kunichoma na kunipepea
Najua unachonipendea"

"Unazimia swaga sina,
Unabakisha baga,mimi nakula paja zima la mbuzi au kitimoto"
 
"Usisubiri mpaka uitwe, njoo mwenyewe nadata na vikuku kwa kuwa mimi ndio jogoo mwenyewe"

"Usisubiri mpaka unase ngoma uathirike Ndio dini uzifaate dhambi uzikache neno ulishike swala tano sana mixure ujifanye mzee wa kanisa yote tisa kumi ni upako japo umekwisha"
 
"Usisubiri muhubiri chizi aanze kubwabwaja lugha"
 
"Usisubiri mpaka nife ndio unisifu uandike wasifu nizikwe nisahaulike zipite siku"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…