Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
List yangu, haija zingatia order.
Mangwear
Afande sele
jay moe
Professor jay
solo thang
Fid q
Mchizi mox
Sugu
Mwana fa
Unju anajua lakini hawezi kua GOT wa bongo hip hop, hata top 10 hatii mguu...kuna watu walifanya makubwa sana na ya kukumbukwa kwenye Bongo hip hop wala hawahitaji kupigiwa kampeni, muziki wao unaongea.
1. Albert Mangwea (Alberto)
2. Joseph Haule
3. Farid Kubanda
4. Juma Mchopanga
5. Selemani Mshindi
6. Msafiri Kondo- Traveler
7. Juma Kasimu Kiroboto (Rap Katuni)
8. Hamis Mwinjuma
9. Ambwene Yesaya
10 Langa Kileo
11. Taikuni Ally
Hadi hapo hayumo,.. anaweza asiingie hata top 20
Unju anajua lakini hawezi kua GOT wa bongo hip hop, hata top 10 hatii mguu...kuna watu walifanya makubwa sana na ya kukumbukwa kwenye Bongo hip hop wala hawahitaji kupigiwa kampeni, muziki wao unaongea.
1. Albert Mangwea (Alberto)
2. Joseph Haule
3. Farid Kubanda
4. Juma Mchopanga
5. Selemani Mshindi
6. Msafiri Kondo- Traveler
7. Juma Kasimu Kiroboto (Rap Katuni)
8. Hamis Mwinjuma
9. Ambwene Yesaya
10 Langa Kileo
11. Taikuni Ally
Hadi hapo hayumo,.. anaweza asiingie hata top 20
Ndio yule ameimba Mama Sikiliza?Ila Unju ukikaa uumsikilize vizuri utatambua jamaa ni super talent kwenye hip hop
Acha uongo, nyinyi ndio wale aliowaimba kwenye utajijuJuma Nature ukitoa "Hili Game" sijaona ngoma nyingine ya maana aliyopasuka kama rapa
NdiyoNdio yule ameimba Mama Sikiliza?
Hiyo ni Hip Hop au Rap?Acha uongo, nyinyi ndio wale aliowaimba kwenye utajiju
Nyimbo za Nikki ninazozipenda ni zile anaponda Serikali na Mama Luciya tu sio Mama SikilizaNdiyo
Rap zipo, ukiacha hili gameHiyo ni Hip Hop au Rap?
Kwani hiyo "Mama Sikiliza" kasifu?Nyimbo za Nikki ninazozipenda ni zile anaponda Serikali na Mama Luciya tu sio Mama Sikiliza
Featured who? Kwani Kaka Suma aliwekwa featuring? Unamjua Kaka Suma?Kwani hiyo "Mama Sikiliza" kasifu?
Hili game itabaki kuwa ngoma kali ya Nature kwenye rapRap zipo, ukiacha hili game
Jibu swali mule kasifu?Featured who? Kwani Kaka Suma aliwekwa featuring? Unamjua Kaka Suma?
Jibu swali featuring who?Jibu swali mule kasifu?
Kasikilize tenaHili game itabaki kuwa ngoma kali ya Nature kwenye rap