Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

Nimetoka kusikiliza siri ya mchezo, Farid kubanda,
Kuna muda vitu anavyoimba kama hujatulia au unatumia shisha, huwezi kuelewa.
 
Mwandishi wa hii topic NI kichwa Sana sitaki kuelezea Sana Ila kama unajua history ya tamaduni muzik na kama umehudhuria kilingeni msasani B hutambishia Mimi Nina Ngoma zote za Nikki na Nina interview zake zote..Nikki NI kichwa ukonga stand up pole kwa kumpoteza Baba yako babu malcom
 
Umesema vyema mkuu, Nikki Mbishi ni kichwa sana mimi nimeshamvika ufalme wa Bongo HipHop. Ukimfuatilia ndio utaelewa Bongo tuna hazina kwenye HipHop Unju​
 
Umesema vyema mkuu, Nikki Mbishi ni kichwa sana mimi nimeshamvika ufalme wa Bongo HipHop. Ukimfuatilia ndio utaelewa Bongo tuna hazina kwenye HipHop Unju​
Ila pia baada ya Nikki namkubali ghetto ambassador pia na kad go
 
Juma Nature ukitoa "Hili Game" sijaona ngoma nyingine ya maana aliyopasuka kama rapa

A.Y wakati anaanza game alikuwa wa moto sana ngoma kali ya mwisho ya A.Y ni "Usijaribu"

Hapo nakuunga mkono kwa Prof Jay, Mchopanga, Ngwair, Fid Q
​
Biashara ya utumwa ulisikiliza ya juma feat ambwene
 
Kivipi nikki wa kwanza na wapili hajulikani/kwa flow stanza unapata amani/Goodboye,bad boy mtani niaje nivipi/wana wanadiss mtaani sisikiki ZOHAN,UTINGO,TISHIO,JOGOO DR UNJU SALUTE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…