Nikki Mbishi ni Mfalme wa Bongo Hip Hop. Unju ni GOAT!

Nikk ni mkali kweli lakini aina ya music anaoufanya hauna mashabiki wengi, shida sio watu kuskiliza radio peke yake, au watu hawapendi kuumiza kichwa, ukweli utabaki ule ule aina ya music wake una mashabiki wachache mnoo
 
"Watu hawapendi kuumiza kichwa"

Mfano angalia pen aliyoicharaza kwenye hii ngoma Tukusa.

Hizi ndio mambo wachache tunazielewa kinyama. Inakupa ile hamasa ya kuusikiloza wimbo hata mara zaidi ya 10

Juma Nature ukitoa "Hili Game" sijaona ngoma nyingine ya maana aliyopasuka kama rapa

A.Y wakati anaanza game alikuwa wa moto sana ngoma kali ya mwisho ya A.Y ni "Usijaribu"

Hapo nakuunga mkono kwa Prof Jay, Mchopanga, Ngwair, Fid Q
​
Kighetto,jinsi kijana humo mote alipasuka vilivyo, baadae necha akawa anapasuka, rap katuni.. bado necha ni moja ya marapa bora kabisa kupatikana nchi hii, ni vile alibadilika na upepo wa game kuzinyaka pesa.
 
Tatizo la Nature hana vina vya kutafuta kwa tochi
 
Nikki Mbishi Unju, mkali sana wa hizi kazi, kaua sana kwenye Tukusa
Mpaka sasa sijaona wa kumfunika Nikki Mbishi kwenye TUKUSA

Nilidhani Jay Moe angeleta upinzani lakini bado Taita Nikki 🔥
 
😂🤣 umehamia kwenye vina, mpe nature heshima yake.
Kuna video moja nilona insta anatambaa na mistari ya nature, hili game.. nilimpigia saluti
Nitampa heshima kama mkongwe lakini sio kama mmoja wa rappers bora wa bongo

Vina ni mojawapo ya nguzo za hip hop
 
Nitampa heshima kama mkongwe lakini sio kama mmoja wa rappers bora wa bongo

Vina ni mojawapo ya nguzo za hip hop
Kama ishu ni kurap, basi nature ni mmoja ya marapa bora kutokea bongo...
HIli game, gado remix, mzee wa busara, kigheto, jinsi kijana na ngoma kibao nature kathibitisha ubora wake.
 
Hiphop ni mziki wa watu wenye akili kubwa,kama akili zako hazijatimia huwezi sikiliza!
Nikki mbishi yuko vizuri
Salute T (Rip) alikuwa vizuri
Mwanangu &mshiksji hashim dogo ulikuwa top
List ndefu aise ,kuna mex cortex balaaa

Ahh,sahv nawasikiliza public enemy - he got game

Nafanya mind transformation kidogo

Ova
 
Kaka umesema vyema sana wachache watakuelewa
 
Kama ishu ni kurap, basi nature ni mmoja ya marapa bora kutokea bongo...
HIli game, gado remix, mzee wa busara, kigheto, jinsi kijana na ngoma kibao nature kathibitisha ubora wake.
Hili game, kigheto, jinsi kijana za moto sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…