Nikki Mbishi vs Wakazi

Nikki Mbishi vs Wakazi

Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'
 
Sema kingereza kingi,ila lyrically Ni mediocre,sema jamaa Ana exposure kubwa kakaa Marekani miaka Tisa bonge la exposure
 
Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'

Tena sasa kaimprove kipindi naanza kumsikiliza Chicago alikuwa way below the bar ulikua unavumilia kumsikiliza, nyimbo za hivi karibuni anajitahidi, kuna wimbo alikuwa featured na Grace Matata alichana fresh sana.
 
Back
Top Bottom