joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Nov 28, 2018 #21 Wakazi sijawahi kumuelewa hata siku moja.
kende JF-Expert Member Joined Dec 2, 2013 Posts 3,527 Reaction score 1,668 Nov 29, 2018 #22 Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'
Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop'
Pablo Blanco JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 7,328 Reaction score 6,638 Nov 29, 2018 #23 kende said: Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop' Click to expand... Sema kingereza kingi,ila lyrically Ni mediocre,sema jamaa Ana exposure kubwa kakaa Marekani miaka Tisa bonge la exposure
kende said: Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop' Click to expand... Sema kingereza kingi,ila lyrically Ni mediocre,sema jamaa Ana exposure kubwa kakaa Marekani miaka Tisa bonge la exposure
Bufa JF-Expert Member Joined Mar 31, 2012 Posts 12,599 Reaction score 26,263 Nov 29, 2018 Thread starter #24 kende said: Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop' Click to expand... Tena sasa kaimprove kipindi naanza kumsikiliza Chicago alikuwa way below the bar ulikua unavumilia kumsikiliza, nyimbo za hivi karibuni anajitahidi, kuna wimbo alikuwa featured na Grace Matata alichana fresh sana.
kende said: Nilichogundua Wakazi anaupenda sana muziki, ila kiukweli kabisa lyrics zake huwa ziko chini ya kiwango ingawa naye anajikuta mkali 'Hiphop' Click to expand... Tena sasa kaimprove kipindi naanza kumsikiliza Chicago alikuwa way below the bar ulikua unavumilia kumsikiliza, nyimbo za hivi karibuni anajitahidi, kuna wimbo alikuwa featured na Grace Matata alichana fresh sana.