Nikki wa 2 na Izzo Bizness nani zaidi?

Nikki wa 2 na Izzo Bizness nani zaidi?

mkuu ina maana ili utusue ni lazma ufanye hiphop lain.?
mbona akina FID Q wametusua na ugumu wao.?
kimsingi IZZO hakua na nyimbo ngumu(za hiphop) za kumfanya atusue na ukweli ni kwamba hawez kufanya hiphop kamili,hana kichwa cha kutunga mistar ya hiphop kamili na akatoka..
anafanya mziki kama anaofanya YOUNG DEE,MR.BLUE,hvo huwez mfanansha na mtu anaeumiza kichwa kama NIKKI..


sio maana yangu mkuu.ila kama mfanyabiashara (ya muziki ndo tunaizungumzia hapa),kusoma alama na mabadiliko ya nyakati ndio kitu cha msingi sana!bidhaa haipelekwi leo sokoni kwasababu mwaka juzi iliiuza vizuri!

muziki wenye mrengo wa ''uhasama'' wa magharibi na mashariki ulianza kuondoka sokoni kutokana na mambo mengi lakini pia kwamba chenye mwanzo lazima kifikie mwisho...thus,natural death!kwamba Run Dmc alifanya Hip Hop ya kweli kama tunavosema na kuamini haimfanyi awe mfanyabiashara wa muziki aliefanikiwa kama P Didy leo...Talib Kweli na Lil Wizy,Nas na Kanye!!nadhani unaelewa ninachomaanisha sasa!

nilimsikia izzo kitambo na anachokifanya sasa ni tofauti kabisa!bussiness wise.....kama anavyojionyesha mwenyewe....naona anatusua sana tu!
Gwandu....Hashim,Saigon........u name them,hawafanyi muziki biashara!

NB; Stamina kichwa kidogo sana yule chalii...........i think i can do better!!hayuko kwenye daraja ambalo wanaom promote wanamuweka!
 
Back
Top Bottom