Maramla
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 588
- 648
- Thread starter
- #21
kama hukijui unachokitetea ni bora ujaribu kutafiti au kupata tarifa za kutosha ndo usapoti ushudu.rasimu ya kwanza ya jaji waryoba haikufafanua kwa undani zaidi swala hilo coz lilikuwa linakuja kuwekewa nyama na katiba za nchi washirika,pili halikuwa swala la muungano kwani ile katiba iliundwa kwa kufuata muundo wa maswala ya muungano pekee.
Hebu soma post yako kama unajielewa....ndugu kasome vizuri eti "liliachwa ili lije liwekewe nyama" hivi unajielewa wewe watu wanataka waonekane wakitajwa kwenye katiba unasema lije liwekewe nyama.....na je zisipo wekwa....acha utabularasa wewe wa kuwa bendera fuata upepo