Idiot Embicile
JF-Expert Member
- Apr 30, 2019
- 1,037
- 1,974
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa waumini wa dini ya Kikristo.
Katika bandiko hilo Nikki wa pili amesema (nina paraphrase ) "Story ya Mwanamke kuumbwa kutoka katika ubavu wa mwanaume.ni story ya zamani iliyoandikwa na mwanaume na inachangia mfumo dume". Wachangiaji wengi wamemponda Nikki wa pili wakionyesha hisia zao za kukerwa na maandiko hayo.Mmoja wa wachangiaji ni Adam mchomvu ambaye alichangia "Shame on you Lil bro".
Hii inaonekana Kama kashfa dhidi ya Biblia kwa sababu wakristo wanaamini kimetokana na Mungu hivyo kusema kimeandikwa na "mwanaume" imetafsiriwa Kama kashfa.Pia kukiponda kinachochea mfumo dume.
Napata tabu kuweka screenshot aliyeiona anaweza weka