Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

Nikki wa pili aikashfu Biblia na hadithi ya uumbaji

Status
Not open for further replies.
Haya ndio madhara ya kuzijua papuchi ukubwani.Kwa bahati mbaya ukute demu mwenyewe fundi anakupeleka kileleni daily,lazima umtukane mpaka Mungu.
 
Kwa hio hio paraphrase,,anayosema iliandikwa zamani sana,,ingeandikwa na mwanamke angeikubali? Mimi nafikiri hawajui wanawake wakoje kwa undani...Na nafikiri anajaribu kugusa sehemu yenye umaarufu ambao mpaka afe hatokuja kuupata...
 
S
Msanii wa mziki wa Hip-hop Tanzania maarufu kwa Jina la Nikki wa pili ameweka bandiko katika mtandao wa Instagram.Bandiko hilo limeonekana kama ni kashfa dhidi ya kitabu kitakatifu Cha Biblia kwa waumini wa dini ya Kikristo.

Katika bandiko hilo Nikki wa pili amesema (nina paraphrase ) "Story ya Mwanamke kuumbwa kutoka katika ubavu wa mwanaume.ni story ya zamani iliyoandikwa na mwanaume na inachangia mfumo dume". Wachangiaji wengi wamemponda Nikki wa pili wakionyesha hisia zao za kukerwa na maandiko hayo.Mmoja wa wachangiaji ni Adam mchomvu ambaye alichangia "Shame on you Lil bro".

Hii inaonekana Kama kashfa dhidi ya Biblia kwa sababu wakristo wanaamini kimetokana na Mungu hivyo kusema kimeandikwa na "mwanaume" imetafsiriwa Kama kashfa.Pia kukiponda kinachochea mfumo dume.

Napata tabu kuweka screenshot aliyeiona anaweza wekaView attachment 1097660
Sijaona kashfa hapo. Pengine anaona mbali sana.
 
Jirani wangu wa utotoni yamekuwa haya tena!! Au ni verse katika ngoma unataka kutoa?
 
Nani kamdanganya kuwa kuna usawa Kati ya mwanaume na mwanamke? Hata biblia isingesema hivyo still mwanamke ni dhaifu kwa mwanaume..hilo halina ubishi maana hata hao anaowatete wanalijua hilo pia
 
Kuna jamaa kasema tatizo ameanza kupewa mambo ya uani kama Janjaro wa ngarenaro,na vile mkewe kajifungua juzi tu..
 
Masuala ya imani hata kama yakionekana yanamkandamiza binadamu namna gani, yakizungumziwa kwa namna Nikk amefanya lazima yapate upinzani mkali sana kwasababu ni ya kiimani. Nikk atarudi na bandiko jingine la kujitetea
 
mpuuzi na ni wa kupuuza inabidi ajue acheze na vyote ila sio Muumba wa vyote vinavyoonekana na visivyo onekana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom