Nikki wa Pili amvisha Pete ya uchumba mpenzi wake

Hili swala la kupiga magoti huwa nalipinga sana
Sema ifike mahali tubadilike. Tujifunze kila mtu ana namna yake ya kuishi. Hatuwezi kufanana. Hapo ulipo sio kila tabia uliyonayo watu wanaifurahia, wanapotezea life goes on.

Na mwisho wa siku kila kitu ni namna unavyotafsiri, Mpiga goti katafsiri upande wewe utatafsiri udhaifu. Ni vizuri kukinzana mawazo ila inapofika mahari unakereka kabisa kwa kitu ambacho hakina athari hasi kwenye maisha yako au hata jamii kiujumla that's a very big problem.
 
Hayo maelezo uliyobold utasema movie ya kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…