Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kabudi is no more interlectual, makapi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi kurudi hapa huyo kijanaKuna mahali pameandikwa how a PhD holder should behave, labda kwa bahati mbaya hujawahi kupasoma! Kwa kuanzia tu, ungeanza kufahamu lile gauni linalovaliwa wakati wa mahafali lina maana gani, kofia (na zile pembe zake) au kile ki mkia (tassle). Pia hudhuria mahafali mtu anapokuwa anatunukiwa shahada ya Uzamivu (PhD). Mimi huwa naifananisha na ibada ya mageuzo!
Baada ya kufahamu hayo machache, utarudi hapa jukwaani tujadili!
Saa hv unalima tu huko ni kweli lazima roho ikuume tuUsela mavi tu.... jamaa nimesoma naye very much know
Kwa maana nyingine mleta uzi asi-complicate maisha..siku zote elimu ya darasani inategemea zaidi elimu ya mtaani kwa kuwa hata usome vipi mwisho wa siku utakaowahudumia ni hao hao wananchi wa kawaida na masela piaUnamchukuliaje mtu kama Magufuli mwenye PhD anaekaa meza moja na Prof Kabudi, na maDr wengine halafu unamkuta akipanga mikakati ya nchi na kina Musukuma, Kibajaji, Makonda?
Hakuna kitu kama hicho wala hasomei PHD uzushi mtupu.
Ana masters only.
Sawa mkuuAcha wivu mkuu!! Yaan maandishi yako yanaonesha ni jinsi gani una roho mbaya ya wivu!!!
55dfNaona unafukuzana na kichaa, ...endelea. sie tulipomshtukia tulimbwaga fasta
Hyyþgiiuíuudt6ilwiitwýwihuihGood
fNaona unafukuzana na kichaa, ...endelea. sie tulipomshtufkia tulimbwaga fasta
Watu wameishia kunitukana. Kuna watanzania wagumu sana kuelewaNimeipenda hii thd,hope nitajifunza jambo hapa,wacha niweke kambi hapa kwa muda.
Kwanini wanakataza Kata K mashuleni, na mpaka kuna nguo wanakataza kuvaa vyuoni kwa sasa. Why doing that kama elimu ipoo kichwani tuu?PhD IPO kichwani sio kwenye mavazi.