Nikki wa Pili bado hataki kazi kama alivyoimba mwaka 2014

Nikki wa Pili bado hataki kazi kama alivyoimba mwaka 2014

Ukisikiliza hizi line utamwelewa sana niki wa pili
 
mwambieni nikki ajifunze kupitia huyu kijana shombe shombe wa kidigo toka tanga wa kuitwa danzak.

jamaa ni mwanamuziki na pia ni rubani muajiriwa, na sio rubani wa vindege vidogo, anarusha dreamliner za huko oman.

Screenshot_2019-11-02-08-33-48-353_com.instagram.android.jpeg
 
Yule sizitaki mbichi hizi sio kwamba hataki kazi.Anaitafuta 35 sasa hivi.Chuo kamaliza 2009-2010 degree kama sikosei.Kila siku anajiona mvulana kumbe age inaenda.Watanionaje ndio kinachomuumiza.Amuombe hata mpoto aingie kwenye campaign ya nyumba ni choo.Anajifanya neutral kisiasa ila ni mlengo wa kijani tu.
 
Back
Top Bottom