Nikki Wa Pili Ft. Joh Makini- Nje ya box..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salute,
Wimbo huu wa wanafamilia kutoka chama la weusi ni wimbo ambao ni wa ukweli kuanzia kwenye beat mpaka jinsi jamaa walivyo flow kwa kifupi ni ngoma kali sana. Lakini tukiangalia kwa jicho la tatu, mi naona ukiacha ukali wa nyimbo kitu walichokiimba ni unrealistic concept. Sidhani kama mtu kiukweli unaweza ukaomba Mungu akujalie demu mpenda mpesa, eti asikupende wewe apende verossa. Haingii akilini swala la demu amsifie sana demu wako ili wewe upate hasira za kuanzisha kitu chako. Labda perhaps tuseme kutokana na swala la dhima ya fasihi ni kuelimisha na kuburudisha basi hapa ni burudani lakini si kitu cha ukweli kabisa. Nawisilisha.
 
Demu nnayemtaka, ni Manka wa kichaga,Jioni ananiulizaga "UMEINGIZA SH.NGAPI"
 
kaelezea upande mwngne. anataka dem ampge sama mizinga ili apatd akili ya kutafuta mkwanja wa kutosha
 
mungu nijalie demu mpenda PESA,
kila siku npgane kuwa BAKHRESA,
asinipende mm apende VEROSA,
wanaomegewa weng ndo kitu WAMEKOSA.,
 
mungu nijalie demu mpenda PESA,
kila siku npgane kuwa BAKHRESA,
asinipende mm apende VEROSA,
wanaomegewa weng ndo kitu WAMEKOSA.,

Hivi anamaanisha nini 'malighafi ya suruali si boxer, siri nyingi mahali dingi alikosa'
 
Hakuna wimbo hapa,wanapewa air time ya bure tu coz tayar wanamajina,bt siafk uwepo wao ktk game
 
HUjauelewa huu wimbo...ni kama wanaponda mademu wa siku hizi....ni ngoma kali lakini nashanga inakosa airtime ya kutosha...km ni nchi za wenzetu mtu anasahau umaskini lakini bongo hapa dah..inasikitisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…