donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salute,
Wimbo huu wa wanafamilia kutoka chama la weusi ni wimbo ambao ni wa ukweli kuanzia kwenye beat mpaka jinsi jamaa walivyo flow kwa kifupi ni ngoma kali sana. Lakini tukiangalia kwa jicho la tatu, mi naona ukiacha ukali wa nyimbo kitu walichokiimba ni unrealistic concept. Sidhani kama mtu kiukweli unaweza ukaomba Mungu akujalie demu mpenda mpesa, eti asikupende wewe apende verossa. Haingii akilini swala la demu amsifie sana demu wako ili wewe upate hasira za kuanzisha kitu chako. Labda perhaps tuseme kutokana na swala la dhima ya fasihi ni kuelimisha na kuburudisha basi hapa ni burudani lakini si kitu cha ukweli kabisa. Nawisilisha.