Nikki wa pili, msanii wa kizazi kipya anayesoma PhD

SIJAONA KIPYA!
IWE PHD! U PROFESSOR!
KWA MTU ALIYEFIKA HATA DEGREE YA KWANZA MAMBO KAMA HAYO NI YA KAWAIDA SANA!
NOTHING NEW,
CHAMELION NI DR.
HATA HIVYO KWA TZ SIJAONA DR. ALIYENIKONIVISE
KUSOMA SANA NI WOGA WA MAISHA,

NINACHOMPONGEZA NICK WA PILI NI KWAMBA AMEACHA ALAMA KWA VIZAZI VYAKE NA TAIFA LIJALO KUPITIA MZIKI WAKE WHICH MEANS KUNA WATU WANAMWONA NA WANAWEZA KUONA KUMBE WAWEZA SOMA NA KUFANYA MZIKI WHICH SOUND GOOD!

BUT BINAFSI KAMA KUNA KIJANA WA KITANZANIA ANASOMA ILI AAJIRIWE ANAPOTEZA MUDA,
LAKINI KAMA ANASOMA KUONGEZA MAARIFA BASI NAMUUNGA MKONO
**********AJIRA NI UTUMWA*****
SIKUFURU LAKINI
AJIRA NI UTUMWA, 90% OF LIFE TIME UTATUMIA KUFANYA KAZI TENA SAA ZINGINE UNASHINDA NJAA KWA UBIZE,
HUJUI MKE WALA MTOTO WALA NDUGU WAPOJE, UKIJITAHIDI SANA MNAONANA KWENYE HARUSI.***
 
ph.D sawa ila mwanahiphop gani anakaa upande wa wanyang'anyi?! huyu anajua jinsi ccm wanavyosababisha ufukara nchi hii lakini yeye ni sapota namba moja wa maccm,..mimi namuona msaka tonge tu no wonder anajiita sweet.

Tumetofautiana mitazamo na maoni.....asali inaweza ikawa tamu kwako lakini kwa mwingine ni sumu.......

Ili kujenga jamii bora na yenye mshikamano...basi ni lazima tujifunze kuheshimu maoni ya watu wengine hata kama hatupendezwi nayo.....

Kuvumiliana na kuheshimiana ndio kumefanya jamii iwe hivi unavyoiona.....
 
Ujumbe wako ni mzuri japokuwa umeutoa katika njia ya WIVU.....
 
Nicki big up ..jamaa akimaliza PhD anakuwa professor lakini naona watu wanaponda tu humu...hakuna haja ya kushangaa ana masters kwa sasa maana ni hobby na kazi take.... Siku mziki ukimtupa jamaa analamba hata kuwa mkuu wa chuo...
 
Labda chuo cha kaole au datastar college
 
Absolutely right
 
Hivi kuna somo la PhD?! Afafanue vyema ni ktk fani ipi na anafanya nini haswa!
Anavyoelezea kirahisi hivyo huenda hata haelewi hiyo PhD ni nini?!
 
Maneno matamu sana.
 
Umesema kweli kaka
 
SIJAONA KIPYA!IWE PHD! U PROFESSOR! KWA MTU ALIYEFIKA HATA DEGREE YA KWANZA MAMBO KAMA HAYO NI YA KAWAIDA SANA! NOTHING NEW, CHAMELION NI DR.HATA HIVYO KWA TZ SIJAONA DR. ALIYENIKONIVISE KUSOMA SANA NI WOGA WA MAISHA,
NINACHOMPONGEZA NICK WA PILI NI KWAMBA AMEACHA ALAMA KWA VIZAZI VYAKE NA TAIFA LIJALO KUPITIA MZIKI WAKE WHICH MEANS KUNA WATU WANAMWONA NA WANAWEZA KUONA KUMBE WAWEZA SOMA NA KUFANYA MZIKI WHICH SOUND GOOD!
BUT BINAFSI KAMA KUNA KIJANA WA KITANZANIA ANASOMA ILI AAJIRIWE ANAPOTEZA MUDA,<br />LAKINI KAMA ANASOMA KUONGEZA MAARIFA BASI NAMUUNGA MKONO<br />**********AJIRA NI UTUMWA*****
I have fallen in love this comment.

SIKUFURU LAKINI AJIRA NI UTUMWA, 90% OF LIFE TIME UTATUMIA KUFANYA KAZI TENA SAA ZINGINE UNASHINDA NJAA KWA UBIZE,<br />HUJUI MKE WALA MTOTO WALA NDUGU WAPOJE, UKIJITAHIDI SANA MNAONANA KWENYE HARUSI.***[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hongera zake amefata nyayo za akina mwana F.A.hope atawasaidia wenzake kuleta changamoto na kutambua mziki kama ajira sio kuigiza na fake lives.
 
Hata haimsaidii,yupo chini ya rugee,sawa na lipumba tu
Umejuaje, na unaushahidi gani kama haimsaidii? Na sijui wewe ulikuwa unataka afanye nini ili nafsi yako ilidhike, tuache hizi mambo za kuwapangia watu maisha yao, sio poa aisee!
 
Yani mtu degree yako yakwanza ujawai kuitumia unakimbizana na masters mpka PhD masifa ya kijinga haya..
 
Sasa sisi itatusaidia nini PhD yenyewe kwenda kukremisha hakuna jipya upuuzi mtupu

hna llote...

Hata haimsaidii,yupo chini ya rugee,sawa na lipumba tu

Wasanii wasomi wapo hata siajabu nick alikuwa hajazaliwa,,,kuna solo thang,kuna k basil

Huu usomi wa ku meza makaratasi ni majanga tuu

Eti mwanaume anajiita sweet Nikki.Kwa vile PhD nikutoka kile chuo chetu sishangai.

Siku hizi kusoma imekuwa fasheni utamsikia mtu kitaa anakuambia nimeshamaliza master mzumbe, alaf mida anakupga mznga mm mwenye cheti tu

G nako akiondoka weusi ndio bye bye.

Labda chuo cha kaole au datastar college

Yani mtu degree yako yakwanza ujawai kuitumia unakimbizana na masters mpka PhD masifa ya kijinga haya..
Kwa lugha rahisi nyie tunawaita WAKAANGA SUMU au WASAGA SUMU au WATU WENYE ROHO ZA KWANINI!!
 
Siku hizi kusoma imekuwa fasheni utamsikia mtu kitaa anakuambia nimeshamaliza master mzumbe, alaf mida anakupga mznga mm mwenye cheti tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mweh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…