Nikki wa pili, msanii wa kizazi kipya anayesoma PhD

Nikki wa pili, msanii wa kizazi kipya anayesoma PhD

Ndo kijana anaejiita sweet mangi namkubali niki mbishi me watu wanojipendekeza siwapendi ongera kwa Mbali namuona lipumba wa Music
 
Acha kukariri kwani Nikki ameajiriwa na nani? na amesema hategemei kuajiriwa bali kuajiri. Kijana amefanikiwa kwenye elimu acha tumpongeze kwa hilo haa, wabongo roho ya chuki ndio inasababisha kulipka kwa magonjwa ya ajabu yasiyojulikana chanzo kumbe chanzo ni chuki na wivu.
Anapiga dei waka kwa ruge
 
Afu akihitimu akaajiriwe kwa Diamond Platinum!! Hapo ndipo unapoona phd ya kibongo haina mpango!! Wako wengi sana kama yeye wanaongozwa na na watu wenye vijidiploma tu
 
Back
Top Bottom