Acha kukariri kwani Nikki ameajiriwa na nani? na amesema hategemei kuajiriwa bali kuajiri. Kijana amefanikiwa kwenye elimu acha tumpongeze kwa hilo haa, wabongo roho ya chuki ndio inasababisha kulipka kwa magonjwa ya ajabu yasiyojulikana chanzo kumbe chanzo ni chuki na wivu.