Nikki wa pili msomi wa Phd

Nikki wa pili msomi wa Phd

Tatizo anashinda na wahuni walioishia darasa la saba ,wasanii ,wavuta bangi so he is a genious amoung fellow fools ,huyu dogo ni mzuri lakini anajipa malengo ya mia wakati uwezo wake wa chini ni mia mbili so ajiona anaoverperform amongst wrong competitors ,hajachelewa umri wake mdogo hebu atuoneshe tofauti yake na nikki mbishi ,yaani amejibrandy na demu like real? gangster toka chuga ? sisemi asipende ila show off haitofaa
Demu wake yupo wapi?!
 
Back
Top Bottom