Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Alkuwaga kipanga!! Ila masomo yetu yaale!? Kna kipindi alikuwa anapigisha twit pale arusha sport
 
Hata mimi sijawahi ku flunk out shuleni.

After all, dogo ya profesa ita flunk out kivipi wakati tufaha huwa halidondoki mbali na mti wake😉.
 
Sio nikki tu aliyekua hajawahi kufeli, wale waliopita diploma pia wengine hawajawahi kufeli, tunahitaji atleast mwaka upi aliongoza au alikua katika wanafunzi kumi bora
 
kwa kuwa kufeli ni grade F, chini ya division IV na chini ya PASS GPA hvyo hyo siyo ishu. angetaja alikuwa anascore vipi yaan form IV, VI na chuo GPA gan
 
NO POVERTY,EVEN AS A POVERTY OF IDEAS BY JK NYERERE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…