Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Aongeze juhudi na mipango ili awe na PhD au awe Prof Nikki wa pili ili Tanzania tupate kuwa na mwanamuziki Profesa.
Kama Prof Jay[emoji1] [emoji23]
Mkuu unamanisha profesa j kasoma hadi level ya phd? tuambie wapi na chuo gan
 
Si kitu mbele ya ma-TO,
Si kitu mbele ya ma-genius.
 
Nikki hizi sifa ndio maana sikukubali kabisa nje ya muziki.
Mbona kaka yako Joh mtu poa tu?
Achaga hizo mboyoyo.
Utakua unamuona kwa mbali tu Joh au wewe una bahat ni Mara 100 huyo Niki kuliko mapozi ya Mwamba wa kaskazin
 
Mtu yoyote aliyesoma kuanzia la kwanza hadi degree ni watu ambao hawajawai ku fail
 
Hizo pozi sio case...naongelea mboyoyo za Nikki ktk media.
Ok wenyewe wanaita makidai nilidhan unaongelea kuwa down to earth;Niki ni mtu poa nadhani jamii anayoshinda nayo ni ya watu wasiosoma so yeye ametoboa kielimu ukilinganisha na wabongo flava na vijana wa sinoni daraja mbili
 
Nikki wa Pili sio Mchagga kama wengi wanavyofikiri.

Ni mchanganyiko wa Mwarusha na Mpare,

Labda kama ana uasili wa huko uchaggani from mababu.
Mwarusha ndo kabila gani?
 
Kwani kutowahi kufeli kwa mfumo wa elimu yetu ni big issue ukiondoa kufeli kwa darasa la 7? Hata mtu aliye below average ana anafasi kubwa sana ya kuwa si miongoni wa waliopata kufeli!
 
Mwarusha ndo kabila gani?
Wamasai wa mjini ila wana sedentary n permanent settlement...wana mila zinazoshabihiana na wameru na wachagga kidg.

Ndio wenyeji hasa wa Arusha mjini na vijijini
 
Back
Top Bottom