Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄 NotedPhd ya development studies...D.S aka General Studies aka Civics.......
Kwani wachagga ni super humans?wewe ccm kaa mbali na wachaga
Nikki wa Pili sio Mchagga kama wengi wanavyofikiri.Anachukua phd sijui ya sanaa,ana maringo sana mchagga huyu
Niki Wa Pili sio mchaga pure labda ana kaasili tu ila ni Muarusha + Mpare wa Ugweno.Kwani wachagga ni super humans?
Mkuu unamanisha profesa j kasoma hadi level ya phd? tuambie wapi na chuo ganAongeze juhudi na mipango ili awe na PhD au awe Prof Nikki wa pili ili Tanzania tupate kuwa na mwanamuziki Profesa.
Kama Prof Jay[emoji1] [emoji23]
Ngoja nipitie CV yake nitarudi[emoji1] [emoji23]Mkuu unamanisha profesa j kasoma hadi level ya phd? tuambie wapi na chuo gan
Utakua unamuona kwa mbali tu Joh au wewe una bahat ni Mara 100 huyo Niki kuliko mapozi ya Mwamba wa kaskazinNikki hizi sifa ndio maana sikukubali kabisa nje ya muziki.
Mbona kaka yako Joh mtu poa tu?
Achaga hizo mboyoyo.
Hizo pozi sio case...naongelea mboyoyo za Nikki ktk media.Utakua unamuona kwa mbali tu Joh au wewe una bahat ni Mara 100 huyo Niki kuliko mapozi ya Mwamba wa kaskazin
Ok wenyewe wanaita makidai nilidhan unaongelea kuwa down to earth;Niki ni mtu poa nadhani jamii anayoshinda nayo ni ya watu wasiosoma so yeye ametoboa kielimu ukilinganisha na wabongo flava na vijana wa sinoni daraja mbiliHizo pozi sio case...naongelea mboyoyo za Nikki ktk media.
Elimu mitaani. com - D khobMkuu unamanisha profesa j kasoma hadi level ya phd? tuambie wapi na chuo gan
Mwarusha ndo kabila gani?Nikki wa Pili sio Mchagga kama wengi wanavyofikiri.
Ni mchanganyiko wa Mwarusha na Mpare,
Labda kama ana uasili wa huko uchaggani from mababu.
phd ya mediaHakuna PhD yenye makelele kama ya Nikki.
Wamasai wa mjini ila wana sedentary n permanent settlement...wana mila zinazoshabihiana na wameru na wachagga kidg.Mwarusha ndo kabila gani?