Nikki wa Pili: Sijawahi kufeli shuleni

Kitivoni ni udsm school of Law,Mimi nime kuelewa Tangu ulipotumia neno kitivoni,My learned brother...
 
Jamani kwani mtu kutokufeli imekua tatizo?

Alifaulu ndo maana kafikia level aliyopo kielimu
 
Nafahamuu sasa hapo hajafeli kitu gani? tena nimesema alifeli A level sababu kwa combination yake huwezi kukimbilia PSPSA tena kabla ya TCU hata Dvsion II.10 ulikua unasoma PSPA kwa private sponsorship upo hapo...
Kama ni stress za mnyuko wa Maisha nitafute upate vibarua huu wivu utakuja ukuue.



[emoji817]
 
binadam tungeweza kuondoa WIVU dunia ingekua mahali pazuri pa kuishi
Aisee waafrika tunashika namba Moja ulimwenguni alafu wanafata wengine ila wa Africans ni Conco.


[emoji817]
 
Aisee waafrika tunashika namba Moja ulimwenguni alafu wanafata wengine ila wa Africans ni Conco.


[emoji817]
Mimi na ujinga nilionao sijaona hata sehemu yakuzua mdahalo mkubwa kama huu
 
Mimi na ujinga nilionao sijaona hata sehemu yakuzua mdahalo mkubwa kama huu
Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people.

Hawa ni wale wanawake wa vibarazani wanga tu wa kawaida.



[emoji817]
 
Wapil kutoka mwisho nako ni kufaul? Sema jamaa ni mtu asiyekata tamaa
 
Nani amekwambia hajaenda!!!! Waulize waliosoma lutengano high school miaka 90

prof j anaakili sana kama angelienda darasani angeliongoza maana nyimbo zake nyingi zina maudhui na zinafundisha sana sio kama hawa marapa wa sikuizi wanarap upuuzi tuu na mapenzi na wengine wanaimba kabisa rnb!
Sikiliza nyimbo kama ndio mzee,
 
Hata mimi sijawahi ku flunk out shuleni.

After all, dogo ya profesa ita flunk out kivipi wakati tufaha huwa halidondoki mbali na mti wake😉.
HAHAHAhahha...Ila ume disappoint kisela.Game la elimu bongo lilikushinda.
😉
 
Kama ni stress za mnyuko wa Maisha nitafute upate vibarua huu wivu utakuja ukuue.



[emoji817]
Itakua fresh ukianza na waliokuzunguka sio watu wa mitandaoni usiowajua maana itkua design ya unafiki fulani hivi au sio...
 
nikki hajaongea kwa sifa niki kaongelea ugumu wa maisha alopitia mleta mada kakosea heading na watu wanakoment kichwa cha habari tu hawaangalii interiew iyo interview ukiiangalia usipokuwa makini huenda hata usiskie mahali aliposema sijawahi kufeli kwa sababu haijawa kiivyo. hicho kichwa cha habari kingekuwa labda 'maisha ya shule alopitia nikki wa pili' nadhani komenti zingekuwa tofauti xana na jinsi mlivyokoment apo, wengine mngempongeza mshkaji. kaongea real xana nimependa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…