Nindo
Member
- Aug 23, 2016
- 71
- 117
Kitivoni ni udsm school of Law,Mimi nime kuelewa Tangu ulipotumia neno kitivoni,My learned brother...Sasa kwa kifupi nilisoma hich chu n kozi niliyosoma mimimum cut off point za nilipokua ninasoma ilikua ni 12.5 point upo hapo....basi wewe ni mshabiki maandazi kama ungelikua umesoma UDSM ungenielewa..ila maana ni mshobokaji ndo mana haujanielewa sawa...