Kuna tofauti kati ya Nikki Mbishi na Nikki wa Pili?
Na issue kuwa Nikki wa pili ni mdogo wa kuzaliwa wa Joh Makini ni kweli?
Ndio kuna tofauti kubwa..Niki mbishi ni msanii anaeimba hiphop ngumu anatokea Ukonga while Niki wa Pili ni msanii anaefanya hiphop shule anatokea Arusha.
Niki wa pili ni mdogo wa tumbo moja wa Joh Makini...
Mwisho kabisa Nikki wa Pili ni msanii msomi kuliko wasanii wote hapa Tanzania tokea tupate uhuru...Anafanya PHd ya development studies Mlimani .
Nimemkubali anajua coz ni wa moto katoka chuo juzi hata madaftari na pamphlets hajachoma moto badoKanifurahisha sana Leo anaulewa mzuri na ana hoja anaijibu shortly ikiwa imejitosheleza na usomi una msaidia kwa kiasi kwa kuwa na wider knowledge. Big up
Ndio kuna tofauti kubwa..Niki mbishi ni msanii anaeimba hiphop ngumu anatokea Ukonga while Niki wa Pili ni msanii anaefanya hiphop shule anatokea Arusha.
Niki wa pili ni mdogo wa tumbo moja wa Joh Makini...
Mwisho kabisa Nikki wa Pili ni msanii msomi kuliko wasanii wote hapa Tanzania tokea tupate uhuru...Anafanya PHd ya development studies Mlimani .
Ule wimbo wake wa SITAKI KAZI, ulinikuna sana.
Ndio mkuu, nilishatafuta kazi kwa muda mrefu nikakosa, baada ya kuona umri wangu unazidi kwenda, ndipo nilipo amua kutafuta mtaji na kujiajiri mwenyewe. Wimbo wa sitaki kazi uliniongezea nguvu ya kukomaa na mishe zangu.Vip mkuu..ww ni unemployed nn..?? mbona umekukuna??
Ndio mkuu, nilishatafuta kazi kwa muda mrefu nikakosa, baada ya kuona umri wangu unazidi kwenda, ndipo nilipo amua kutafuta mtaji na kujiajiri mwenyewe. Wimbo wa sitaki kazi uliniongezea nguvu ya kukomaa na mishe zangu.
Anazingua na maswali yake ya kuchalenge kiuanafunz mpaka zito akawa anamaind anauliza swali hujamaliza kujibu anakukatisha kifupi ana maswali ya kuku na yai kipi kimeanza sometime jibu analijua lakin anauluza maswali ya kuleta majibu ya kichwan kwake