GadoTz
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 370
- 636
Na nimekusiliza kwenye kipindi cha siasa za siasa nimegundua mambo matano kuhusu wewe.
1. Una ufahamu mkubwa sana kuhusu mambo mengi.
2. Unasoma sana vitabu hivyo vinakujenga kifikra na kimtazamo
3. Una ujuzi wa kuwasiliana kwenye mazungumzo, unasikiliza, unatafakari ndipo unaongea
4. Una maono, mazungumzo yako yamejaa maono ya mbali ni aina ya watu wanaoifikiria kesho na kesho kutwa kila sekunde
5. Wewe ni hazina kubwa ya nchi hii, wanaokubeza wafikirie mara mbili kuhusu wewe.
WEWE NI INSPIRATION.