Nikki wa Pili uko vizuri sana

Nikki wa Pili uko vizuri sana

japo wengine hawataki iwe hivyo kijana bado anapewa nafasi zaid ktk vipind vya clouds360,ko no need kubishana kwa mtu ambae bado anawithstand kipindi,xo tuhame kwingine coz hii thread haina jipya.?!
 
Tuwe wakweli, ni point gan ya msingi amewahi kutoa akiwa katika interview zake zaidi y kukurupuka na maswali ya secondary swali juu ya swali

nikki wa pili ni msomi wa vitini na ukitaka kudhihilisha ilo tafuta interview ya kipindi kimoja cha East Africa SIASA ZA SIASA kama sjakosea alivyokuwa na mtu mzima afande sele

hamn kitu cha maana zaidi akikosolewa anaanza kupanic

Anza wewe kutuambia kipi kaongea si cha msingi.
 
Ndio kuna tofauti kubwa..Niki mbishi ni msanii anaeimba hiphop ngumu anatokea Ukonga while Niki wa Pili ni msanii anaefanya hiphop shule anatokea Arusha.

Niki wa pili ni mdogo wa tumbo moja wa Joh Makini...

Mwisho kabisa Nikki wa Pili ni msanii msomi kuliko wasanii wote hapa Tanzania tokea tupate uhuru...Anafanya PHd ya development studies Mlimani .

PhD?? Really??
 
Back
Top Bottom