Nikki wa pilli alamba shahada ya uzamili(Masters)

Nikki wa pilli alamba shahada ya uzamili(Masters)

pantheraleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
692
Reaction score
880
Nikki wa kundi la weusi linaloundwa na Joh makini,Gnako na yeye mwenyewe,amepata shahada ya uzamili katika maendeleo kutoka chuo kikuu cha UDSM.Hongera msanii wetu. Source:Milard ayo
 
Hongera zake.......maana wasanii wengi wanakimbia shule na kuzani

ukiwa msanii basi umemaliza kila kitu
 
Hongera kwako Nikki wa Pili. Kuwa kioo kwa wengine wajifunze kwako, kujiendeleza kielimu.
 
Watakua makahaba wadogo zangu nikicheza by nick simow wa pili.
Ndo msanii wa mwisho kutoka atown ambaye ameingia kwenye my favourite mcs toka chuga.
Wengine ni chindo man,jcb,bu nako,lord eyes,gnako,ibra,joh makini na stopper. List imefungwa.
 
9b60f8844ec111e381ef125a95a1c163_8.jpg
2f9c52c44ea311e3972312101460c605_8.jpg
 
Hongera sana Nikki wa pili,napenda sana kuvaa joho...pia huyo mdada uko nae hapo ni so beautifully and so natural kwakweli...nimempenda bure
 
Congrats Nick II others must follow your footsteps.
 
Yaani mnamaanisha wasanii nao wasomeeee tu!
Msanii anahitaji elimu ya sanaa anayofanya ili awe professional ili aweze kumanage vizuri muziki wake.Hongera kwake Nick II kwa kuweza kubalance shule na sanaa bila kuharibu kote kwangu hilo ndio kubwa.
 
personally mi namkubali sana Nikki, among few elite MC's kwahapa bongo ndio maana siku zote mambo yake anayapeleka kisomi sana. Congrats blazee
 
oiii hongera i wishhhhh ni wewe nadhani sio mimi tu wengi chezea masters...education z sexy
 
Jokate vipi hajagraduate??? Si walikua pamoja na huyu
 
Back
Top Bottom