Niko addicted na JamiiForums

Niko addicted na JamiiForums

Umesema mtandao wa x Ina maana wewe mtu mzima akili zako unaangalia x kweli. Daah inasikitisha mkuu. 😃😃😃😃😃
 
😂😂😂
Mkuu we acha tu, na kipindi kile Jamiiforums ilikuwa ina operate virtually, na watu wengi walikuwa wanashusha nondo za nguvu zile quotes zako na reactions kwa Member ndio zilikuwa zinaleta ukaribu. Halafu watu wengi humu walikuwa wana misimamo kwenye hoja. Majukwaa yalikuwa yamegawanyika kabisa. Members fulani ni MMU, Members fulani ni Siasa, Members fulani walikuwa kwenye jukwaa la dini. Sio siku hizi uzi wa Siasa unaanzishwa hata kwenye jukwaa la Sports. Kuaminiana ndio kulikuwa kunaanzia hapo.
Mshana Jr uchawi
JokaKuu bikra
FaizaFixy Uislamu
Madame B mapenzi
warumi udaku
BAK siasa
field martial (lemutz American spirit) 😁 alikua anatukana viongozi
 
Back
Top Bottom