Yaani bado hamjakubali matokeo hadi leo?Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
We will select people based on their merit and not gender basedNiko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautakiYaani bado hamjakubali matokeo hadi leo?
Suala sio jinsia... suala ni kazi.. je unaweza kazi? Lazima watu wajue kwamba, jinsia yako sio sababu Toshiba ya kupata nafasi ya uongozi fulaniNiko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Kamati kuu ,Kuna nafasi 6 za kuchagua, LISSU kachagua Wanawake wawili.Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki
Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Chadema ina wanachama zaidi ya milioni 14 kama wanavyotamba wenyewe kote huko wamekosa wanawake wenye sifa sifa wanawake kwenye hao wanachama milioni 14 wanaotutapeli kuwa wanao?We will select people based on their merit and not gender based
Kwa hiyo kihesabu wanawake wawili kati ya sita ndio kuzingatia usawa wa jinsia?Kamati kuu ,Kuna nafasi 6 za kuchagua, LISSU kachagua Wanawake wawili.
Hata hao wawili waliowrkwa hapo ni hasaraKwa hiyo kihesabu wanawake wawili kati ya sita ndio kuzingatia usawa wa jinsia?
Hesabu shule ya msingi hukufaulu wewe
Wee ni lijinga kwelikweli , kwahiyo ulitaka hesabu ya 3-3 ili mradi tu ni Wanawake ???Kwa hiyo kihesabu wanawake wawili kati ya sita ndio kuzingatia usawa wa jinsia?
Hesabu shule ya msingi hukufaulu wewe
Mbowe aliwapa vyeo wanawake mkasema kawavua chupi, sasa mtakula mlipopeleka mboga.Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki
Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Waislamu wote wanaongozwa na wanaume hujawahi kulalamika wewe ni mbeya, redio gani unasikiliza? shame on you UWTNiko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia