Niko Arusha nasikiliza Radio mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
 
Yaani bado hamjakubali matokeo hadi leo?
Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki

Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
 
Kama wanaohojiwa ni wale kinamama wa pale kibanda umiza ngarenaro shangazi zake na janjaro usitegemee kusikia wakimsifu Lissu au mpinzani yeyote,hao kwenye kila shughuli ya ccm huwa wanapewa kanga mpya na fulana ya "mama anaupiga".
 
Waambie waache ubwege na Ujuha.

Tunachagua Viongozi based on their qualifications .

Hata hivo, nafasi za Umwenyekiti, Makamo, zilikua za kugombea, hao Wanawake walikua wapi kugombea?.

LISSU kateua watu 6, Kati hao Wanawake ni wawili.

Habari ya Usawa imetokea wapi?.
 
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Suala sio jinsia... suala ni kazi.. je unaweza kazi? Lazima watu wajue kwamba, jinsia yako sio sababu Toshiba ya kupata nafasi ya uongozi fulani
 
Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki

Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Kamati kuu ,Kuna nafasi 6 za kuchagua, LISSU kachagua Wanawake wawili.

4 Kwa 2 , hii unanionaje??

Peleka huko ujuhaa na ubwege wako
 
Israel walijaribu usawa wa kijinsia vitani

Wameshindwa Vita na kuwaachia Wafungwa wote wa Palestine
 
Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki

Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Mbowe aliwapa vyeo wanawake mkasema kawavua chupi, sasa mtakula mlipopeleka mboga.
 
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Waislamu wote wanaongozwa na wanaume hujawahi kulalamika wewe ni mbeya, redio gani unasikiliza? shame on you UWT
 
Back
Top Bottom