Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
RC/Waislam wote wanaongozwa na wanaume hakuna aliyewahi kulalamika, mtu apate cheo kwa uwezo wake na siyo jinsia akeMbowe aliwapa vyeo wanawake mkasema kawavua chupi, sasa mtakula mlipopeleka mboga.
Yani aache kuangalia uwezo wa mtu, aangalie kigezo cha usawa wa ki-jinsia?Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Hao machawa wa mbogamboga hawana jipya, ni wapuuzi pro!Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
🚮Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki
Ndsni ya ccm ratio iko vipi?Kwa hiyo kihesabu wanawake wawili kati ya sita ndio kuzingatia usawa wa jinsia?
Hesabu shule ya msingi hukufaulu wewe
Chawa kaziniNiko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Tena kawapendelea sana hata hao wawiliKamati kuu ,Kuna nafasi 6 za kuchagua, LISSU kachagua Wanawake wawili.
4 Kwa 2 , hii unanionaje??
Peleka huko ujuhaa na ubwege wako
Chadema ina wanachama zaidi ya milioni 14 kama wanavyotamba wenyewe kote huko wamekosa wanawake wenye sifa sifa wanawake kwenye hao wanachama milioni 14 wanaotutapeli kuwa wanao?
Mtapasuka mwaka huuAngalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki
Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Jinsi Ke na Me haziwezi kuwa sawa actually. Tazama mtoto anazaliwa anapewa jina/ ukoo wa baba. Kwa Nini asipewe ukoo wa mama aliyebeba mimba Hadi kuzaa kiumbe husika?! Hii ni DESTURI tuliyonayo! Refer yourself ikiwa umefuata/ umechukua jina/koo Kwa baba!Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Tanzania sio China wala Marekani.Tunaelekea Wapi???tunaangalia Uwezo Au jinsia,,foolish kabisa.nenda Marekani Au China Watu wanaangalia Uwezo,, upumbavuu Huo umeanza lini!???
Zero mamako bwegeAngalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki
Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Sensa inaonyesha Tanzania wanawake ndio population kubwa kuliko wanaume na ndiio wapiga kura wengiZero mamako bwege
Kuna tofauti kubwa sana Kati ya mwanamke wa kichina marecan na manzi wa ki tz mkuuTunaelekea Wapi???tunaangalia Uwezo Au jinsia,,foolish kabisa.nenda Marekani Au China Watu wanaangalia Uwezo,, upumbavuu Huo umeanza lini!???
Majukwaa yote hayajafurahishwa na teuzi za Lissu.Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia