Niko Arusha nasikiliza Radio mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake

Niko Arusha nasikiliza Radio mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake

Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Yani aache kuangalia uwezo wa mtu, aangalie kigezo cha usawa wa ki-jinsia?
Hii Agenda ndo imesababisha mambo mengi kwenda hovyo hovyo!
 
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Hao machawa wa mbogamboga hawana jipya, ni wapuuzi pro!

Na pengine umetunga wewe.
Em tuwekee link hapa tusikie

Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki
🚮
Dunia ya wapi hiyo?

Angalia mataifa makubwa ambayo yamekuwepo mamia ya miaka kama USA, Russia, China... wote hao hawajawahi kuwa na rais mwanamke, unajua sababu?
 
Kwa hiyo kihesabu wanawake wawili kati ya sita ndio kuzingatia usawa wa jinsia?

Hesabu shule ya msingi hukufaulu wewe
Ndsni ya ccm ratio iko vipi?
Ndsni ya bunge ratio iko vipi?
Ndani ya mahakama ratio iko vipi?
Ndani ya baraza la mawaziri ratio iko vipi?
Katika utumishi wa umma kwa ujumla wake serikali kuu na halmashauri ratio iko vipi?
 
Mbona hamlalamiki kuhusu taasisi zenu za dini nazo ziwe na usawa wa kinjisia?
 
📌hii nchi imefika hapa kwasababu ya makopo kama wewe kuruhusiwa kutoa maoni.

📌Hii nchi haihitaji jinsia ya mtu ili ipige hatua mbele.Huku kubeba beba watu hata kama hawana uwezo ni upumbavu ambao wazungu wanawalazimisha nchi za kiafrica na matokeo yake mpaka leo hamna kitu.

📌📌TANGU VITI MAALUM VIMEANZISHWA NI FAIDA GANI NCHI IMEPATA ZAIDI YA KUPOTEZA PESA NYINGI KULIPA WATU WAENDE BUNGENI KWA MIAKA MITANO BILA SABABU.

📌HIZI SHITHOLE COUNTRIES ZINABIDI KUTAWALIWA TENA KWA MARA YA PILI NA YA TATU ILI WAAFRIKA KATIMIE KUWA BINADAMU KAMILI

📌📌📌TAFUTA KAZI HALALI UFANYE,UONGOZI NI WITO UKIONEKANA UNAUWEZO UTATAFUTWA.

HUU UONGOZI WA KIAFRIKA WA KUFOSI NDIO UMESABABISHA MPAKA MASHUDU NAYO YANAKUWA KWENYE UONGOZI.
 
Sidhani kama Ina wanachama wengi hivyo kwenye nchi hii ya uchawa
Chadema ina wanachama zaidi ya milioni 14 kama wanavyotamba wenyewe kote huko wamekosa wanawake wenye sifa sifa wanawake kwenye hao wanachama milioni 14 wanaotutapeli kuwa wanao?
 
Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki

Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Mtapasuka mwaka huu
 
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Jinsi Ke na Me haziwezi kuwa sawa actually. Tazama mtoto anazaliwa anapewa jina/ ukoo wa baba. Kwa Nini asipewe ukoo wa mama aliyebeba mimba Hadi kuzaa kiumbe husika?! Hii ni DESTURI tuliyonayo! Refer yourself ikiwa umefuata/ umechukua jina/koo Kwa baba!
 
Kuangalia jinsia ndio imetuletea kilio Tanganyika.
 
Angalia uzingatiaji wa jinsia kwenye uteuzi wake Lisu kamati kuu hajazingatii mhuni huyo anaamini kwenye mfumo dume ambao dunia sasa hivi hautaki

Lisu yuko zero kichwani kwenye maswala ya jinsia yuko bado kwenye stone age.ya mfumo dume
Zero mamako bwege
 
Zero mamako bwege
Sensa inaonyesha Tanzania wanawake ndio population kubwa kuliko wanaume na ndiio wapiga kura wengi

We tukana tu jibu lenu na huyo Lisu wenu mdharau usawa wa kijinsia mtallipata uchaguzi mkuu wa october
 
Tunaelekea Wapi???tunaangalia Uwezo Au jinsia,,foolish kabisa.nenda Marekani Au China Watu wanaangalia Uwezo,, upumbavuu Huo umeanza lini!???
Kuna tofauti kubwa sana Kati ya mwanamke wa kichina marecan na manzi wa ki tz mkuu
 
Niko Arusha nasikiliza Radio FM mida hii wachangiaji wote wanamlaumu Lisu kwa kutozingatia usawa wa jinsia kwenye teuzi zake alizofanya kuwa ni mbaguzi wa jinsia
Majukwaa yote hayajafurahishwa na teuzi za Lissu.

Wakati wa kupigania uhuru wazee waswahili waanzilishi wa TANU, waliamua kwa makusudi kumchagua Nyerere kutokana na dini yake, kutokana na upinzani walioupata kutoka kwa wakatriso ktk harakati za kupigania uhuru. Kwa kuwa wakatriso walikuwa upande wa waliowaletea dini.

Hivi ndivyo harakati za ukombozi zinavyohitajika.

Vipi leo anachue jenda ya kiume pekee, na kati ya hao 90% ni Wakatoliki. 50% hadi walinzi ni wa kanda ya kati.

Anamaamisha wanawake na watu wa mwambao hawana weledi wa kupewa uwakilishi ndani ya chadema?

Vipi watajisumbua kuoanga foleni ya kujiandisha kupiga kura na baadae wampigie kura kwa kisingizio alipofanya teuzi haliangalia weledi pekee.

Bila ya shaka sababu kama hizi hazina mashiko na kwamba tuache muda utaongea wenyewe
 
Back
Top Bottom