Niko Dar natoa offer ya kuchora tattoo kwa nusu bei huduma itakufuata

Niko Dar natoa offer ya kuchora tattoo kwa nusu bei huduma itakufuata

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,377
Reaction score
3,394
upload_2016-10-12_9-58-19.png


upload_2016-10-12_10-3-44.png


upload_2016-10-12_10-5-35.png


Napatikana kuanzia wiki hii tu kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni, book na toa location nitakufuata maana vifaa vyangu ni mobile.
 
Mi nataka kuchora nanga kwenye kojoleo,itakuwa bei gani?
 
TATIZO HAYA MADUDU UKIZEEKA SASA YANATELEZA NA NGOZI.....ANYWAY SINA MZUKA NAYO KABISA
 
Wa Ubavu anataka anichore picha yangu kwenye Bega sijui unafanya bei ngapi hiyo? Kwa Dar(Kimara Korogwe)
 
Back
Top Bottom