Niko Dar natoa offer ya kuchora tattoo kwa nusu bei huduma itakufuata

Acha uongo
***
kwenye u-tube wanaonyesha watu wakilia kweli kweli,ni vyema ukafafanua na kuwaondoa watu hofu ya kwamba / haina maumivu yoyote labda./ kwa kirefu....
--->>>
***
[media] ****


.
 
Hapo naona mchanganyiko wa tatoo na hena!
Nilimpeleka rafki yangu mmoja kwa jamaa mmoja wa kihindi...aaargh! Sjuwi alikuwa anajifunza, cha kushukuru tu ni kwa vile tatoo ilikuwa ndogo, otherwise ningemtandika mangumi. Kwa sasa hapa mjini namwamini Boaz Artist tu.
 
Ningekuwa na roho ya kuchora tattoo basi ningechora ya scorpion ila imani hairuhusu, kila la kheri wachorwaji.
 
Nataka kuchora tattoo kwenye kifua changu picha ya baba mlezi sh ngapi please
 
Mi nataka tatoo ya tako shs ngapi. Kimara nipo huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…