Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817

Aisee, nitabaki mpwapwa milele. Kumbe watu wa dar hampokei wenyeji. Khaaa!
Aisee, nitabaki mpwapwa milele. Kumbe watu wa dar hampokei wenyeji. Khaaa!

njoo nitakupokea.
Acha kutusingizia wewe.... kwani alitupa taarifa... Ule mji uko busy bana, mambo yoote kwa timetable....lol

Acha kutusingizia wewe.... kwani alitupa taarifa... Ule mji uko busy bana, mambo yoote kwa timetable....lol

ndaku mmemtosa, mimi mtanipokea kweli? Dah! Ngoja nicancell haka kasafari hadi upepo utulie.

Almanusura umbadilishe jina awe kitoweo!

Pole, Mwana FA aliimba Msije Mjini we umepuuzia. Upo maeneo gani?. Unatokea maeneo gan?
Ashadii, mi nataka kuja huko dar.
Naomba unipokee.
Ashadii, mi nataka kuja huko dar.
Naomba unipokee.
Husny wewe hutakiwi hata kuomba... genge lipo la kutosha kukupokea... Mie nitabaki tu home napika kwa ajili yako na kuhakikisha chumba cha wageni hamna vumbi vumbi... maana na feni hio usije pata mafua maana hakijatumika siku nyingi....
Lingine??