Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
naujua na ile ilitokana na kutokuwa na dawa na pia uoga wa kumeza tembe .........Hujakutana na Ukimwi ule wa Kagera watu walikonda mpk akilala kitandani haonekani unaona kichwa tu nacho kimebaki kama fuvu
all in all hakuna anayebaki duniani uwe na ukimwi ama lah sasa ukishaupata ni vizuri ukakubali na pia u