Niko hospitali napima HIV

Hujakutana na Ukimwi ule wa Kagera watu walikonda mpk akilala kitandani haonekani unaona kichwa tu nacho kimebaki kama fuvu
naujua na ile ilitokana na kutokuwa na dawa na pia uoga wa kumeza tembe .........

all in all hakuna anayebaki duniani uwe na ukimwi ama lah sasa ukishaupata ni vizuri ukakubali na pia u
 
Asee nimerudi. Mambo muruwa. Sina ngoma wadau. Ila dah pressure ilipanda mpaka 145 kwa 90

Hongera sana kiongozi,ila visije vikawa ndio vile vipimo vya mama blandina nyoni,vinavyokoseaga majibu
 
Aisee kupima bhana! Mi nikishapima pale kwenye ushauri ndo natorokaga
 
Mimi nimeyakimbia sana majibu, mpaka leo sijawahi kupimwa na kupewa majibu yangu, sipati pctr iyo siku ntakayo amua kusubiri majibu
 
Nilipopima pamoja na kuwa na ujasiri na uhakika, doctor alipokuwa anafungua bahasha yenye majibu, kiti kilirukaruka kama tetemeko la ardhi. Kinachotakiwa ni ujasiri na kukubali matokeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…