Niko katika mgogoro mkali sana na mpenzi wangu kutokana na message aliyonitumia

Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

Kwani ungemjibu ndio ungepungukiwa nini? In short hivyo ndivyo wanawake walivyo awe graduate au darasa la saba hiyo inaitwa FEMINISM it is genentically coded they are so by default!!
 
Mi naona hapo humpendi huyo mdada ndio maana inakuchukua muda kumjibu! Ungekuwa unampenda na unaogopa kumpoteza ungemjibu fasta! Huo unaitwa wivu ambapo ni sehemu ya mapenzi ndio kauliza hivyo jamani tuwajue wenzetu then tuwapende na tabia zao!
 
sasa hayo maswali yana nini cha ajabu hadi ulete ugomvi? Au hauna majibu?????
 
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

Una umri gani mkuu?
Naona uwezo wako wa kuelewa hawa viumbe ni mdogo sana.
:baby:
Hapo ungemjibu tu kutokana na moyo wako, wala hamna ugomvi wowote.
 
sidhani kama hapo kuna swala la kuwaumiza kichwa, we mjibu ukweli wakomambo mengine yaendelee. pole sana
 
Jamani kuna wanawake wana hamu wangeulizwa hivo na waume zao.. Anataka tu assurance si unajua tena mjini hapa we mjibu maswali yote hata wk ijayo akikuuliza we mjibu tu
 
Katika uo ugomvi nani mlalamikiwa,wewe au mama watoto?
 
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

Hapo kwenye red umesema nini na kwenye blue umeeleza nini? Ebu nifafanulie kidogo hapo then ntakushauri kitu.
 
sioni ugomvi unatokea wapi kwanza kwenye stage hiyo kuna kuwa na kusifiana mno na uongo mwingi. Kinachokushinda kumpamba na kumsifia hapo ni nini? tena ningekuwa mie ningefurahi coz kwanza ingekuwa nji rahisi sana ya kumaliza hako mgogoro. Wanawake ndoa kwao ni security kubwa sana hata km unataka kula na kusepa sema NAOA utapewa bila ubishi. Majibu ya maswali yote ungemwambia Ndio mke wangu hata kesho niko tayari kukuoa, wala usingepata tabu yote hiyo, kesho yake angekuja kukupa yote bila kipimo. Kwenye uchumba ukipigiwa simu halafu hujapokea issue inakuwa kubwa mno, mkiingia kwenye ndoa unapig mara moja hajapokea unatuma sms unaendelea na hamsini zako
 
  • Thanks
Reactions: ram
nimeona niombe ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
nina mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
kisa ni hiki kifuatacho:-
siku moja ndani ya mwezi wa june, mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo mtarajiwa?
  2. unanipenda kweli?
  3. uko tayari kunioa?
  4. haunidanganyi?
  5. umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

how old are you??
 
sasa mpaka unakuja hapa jf

ulishindwa tu kusema
'nisamehe yaishe'
i am nothin without you
nimekosa yaishe'

halafu unge concentrate na vitu viingine by now

wewe umebaki kuja jf na kichwa chako still in a mess

hahaha hapo nilipo bold siamini The Boss no thank you
 
Last edited by a moderator:
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

fikilia kwa makini kwanza kabla ya kumpa majibu
maisha ya sasa mmh
je una uhakika huyo ndio atakuwa mkeo? kama yes basi mjibu na kama hakika ipo majibu yanayofatia ni yes yes ...
Ila kama huna uhakika mwambie bado unafanya evaluation ya maswali yake na awe mpole utampa majibu
 
mi ninaona, jaribu kutumia rafiki zake na wa kwako pia kwa nyakati tofauti wamuweke mtu kati wamueleze NDIO YAKO kama majibu ya maswali yake hayo...ila hapa inategemea kama ni kweli una plan na huyu dada, ila kama huna plan naye rekebisha mwenyewe bila kushirikisha mtu...
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.
 
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

Kaka sioni sababu ya ww kununa...!!! ulitakiwa kujibu maswali yake yoote kwa ufasaha tena bila jazba, maana yy wala hakukuuliza kwa nn hukupokea simu, acha ku-asume kuwa anakuhuku kwa kutopokea simu ladies need asuarance man, hayo maswali unaweza kuuliza hata mara mia, lakini usichoke kujibu kama kweli unampenda na unampango nae mpe uhakika, muondoe mashaka ndo mambo yanavyoenda.
 
Nimeona niombe Ushauri wenu wa dhati kuhusu hili;
Nina Mpenzi wangu ambaye anajua nampenda sana nami vilevile nampenda sana.
Kisa ni Hiki kifuatacho:-
Siku moja ndani ya Mwezi wa June, Mpenzi wangu alinipigia simu usiku na kwa bahati mbaya sikupokea simu yake kwa sababu nilikuwa nimelala hivyo baada ya muda mfupi akatuma sms iliyokuwa na maswali kibao na magumu ambayo sikuweza kupata majibu ya haraka haraka kama alivyotaka nimjibu na hili ndo limenipelekea kuomba ushauri toka kwenu. Message hiyo ilisomeka kama ifuatavyo:-
Naomba unijibu kwa ufasaha kutoka moyoni mwako
  1. Je uko tayari na umeridhika kuwa nami kama mkeo Mtarajiwa?
  2. Unanipenda kweli?
  3. Uko tayari kunioa?
  4. Haunidanganyi?
  5. Umenipenda jinsi nilivyo pamoja na udhaifu nilio nao? Please naomba majibu
Meseji hii ilileta shida na mpaka sasa tuko katika mgogoro mkali sana maana mimi nilireact kwa Nini asiniulize nini kimesababisha nisipokee simu yake yeye akaniuliza maswali ambayo majibu yake anayo???
Nawaombeni mnisaidie ili tuondoe kutokuelewana tulikonako.

Inaonekana una matatizo ya kisaikolojia, mbona hayo maswali ni ya kawaida tu. Muombe msamaha mchumba wako, then mjibu maswali. Siku nyingine acha kukurupuka.
 
Usifanye inshu kuwa simple kiasi hicho kaka. Kama ndivyo kwa nini aniulize baada ya kunipigia sikupokea????

Kwa vile anakupenda sana na alihisi anaibiwa. Kama kweli una lengo zuri naye mvalishe pete. Au una mwingine?
 
Buchanagandi, kweli nimeamini polis mlarushwa hajikamati mwenyewe na kinyozi hajinyoi! Answers r there,the keyboard is there,the computer is on why complicating things? Haya hebu mwaga jamvini majibu yako tukushauri kabla hujaenda hewani
 
Wote mmepanic hakuna anayetaka kujishusha mapenz ili yaendelee au ili ndoa idumu na ikomae lazima mmoja akubali kujishusha na kurepent maisha yaendelee mkikomaa kila mtu lwake NDOKUACHANA HUKO....

hiyo ni early stage ya mapenz mkifika climax hayo yatakuwa minor thing coz kun makubwa zaidi ya hayo oa kabisa uoge full suit
 
Back
Top Bottom