Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
usikose kufika UJIJI,utupigie picha sehemu ambayo,STANLEY alimuibua Dr David Livingstone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu
Sijaonekana jf kwa siku kama 7 hivi.
Niko Kigoma.
Na ijulikane wazi kuwa baada ya kuonekana upinzani ni mkubwa Kigoma then serikali ya ssm inakomoa mikoa kama hiyo pia. Japo katika campaign JK aliahidi kushughulikia mikoa ya pembezoni ambayo iko nyuma kimaendeleo, basi nakuuhakikishia atashughulikia yote lakini si Kigoma kwa Chadema na CUF.
ili kulea ufanisi tungeanzisha serikali za mikoa zinazojitegemea kwa kila kitu, kama vile ilivyo marekani, ili kurahisisha na kuwezesha wananchi kujiletea maendeleo yao wenyewe....!
Kwa mfano, kila mkoa ungekua na gavana wake ambaye ndio atashughulikia maendeleo ya mkoa huo na na ndie kuhakikisha mkoa unatoa pato lake kwa ajili ya kuchangaia baheti kubwa ya nchi, kitendo cha sasa cha kufanya mkoa mmoja kuwa ndio tegemeo la chanzo cha mapato ya serikali (dar es SAlaam) kunafanya mikoa mingine kushindwa kuwa wabunifu na kujitegemea na kuendelea kusubiri hela kuoka dar es salaam.
Kuna mikoa ina bandari, mito, maziwa, mbuga, maliasili lakini imekua nyuma kutokana na utegemezi au kushindwa kuendelea kutokana na kuwa na centralised polies which can not carter for all regions, dawa ni kufanya decentralization na kutoa full aoutonomous kwa serikali za mikoa ili kuzifanya zichakarike zaidi katika kutangaza vivutio vyake na kuwahamasisha wananchi wake kujiendeleza...!
MF,
Pole sana na Kigoma. nimeingia Google Earth na kuufaidi kwa mbali mji huo. Ukiangalia kwa haraka haraka utaona kuwa ni heri ya Kigoma kuliko Tabora. Kigoma niliishia Airport na hivyo sina uhakika sana. Ila sijui kati ya Kigoma na Tabora ni nani ananafuu. Tabora tuna Kapuya, Seleli na Spika Sita. Pia tuna Fisadi RA na Rage. Pamoja na kuwa na watu hawa, Tabora imechoka kama nguo za Mkimbizi. All in all, Kigoma na Tabora ni DUGU MOJA.
Usisahau kupata Maziwa ya mgando ukiwa huko. Wee ukifika ulizia yale maziwa yaliyogandishwa kwenye KISAWO.
Fugwe na First Lady, siku moja kaka zangu walichonganisha ng'ombe wetu na wa Muha. Yule wetu alikuwa mdogo ki-umbile. Ila ubabe wake ulikuwa kupiga vichwa kama watu. Basi alimtandika kichwa yule ng'ombe mkubwa na akaanguka na kuanza kutoa mapovu. Mwenye ng'ombe wake akienda kwa jina la Yakuleka akaanza kulia " uwuu wuuu wuuuu, Inka yane irafwiye..." Ilikuwa sooo.
wewe nilijua tu maana nimetania kuisema KG vibaya nusu unirukie nahisi tungekuwa hatutenganishwi na skrini sijui ingekuwaje!mimi Kigoma naipenda sana
maana ni mkoa wa wanangu pia ubavu niliowekewa ndo ulitoka huko!I thank MY GOD MY LORD FOR THIS!
Ila usijali ipo siku KIGOMA itakuwa juu kimaendeleo
Siku za nyumba wakati Waziri Mkuu fulani alikuwa madarakani, fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya miradi ya maendeleo mkoani kigoma ziliporwa na kupelekwa mkoa wa kilimanjaro katika wilaya ya Same kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini. Alaniwe huyo Waziri Mkuu aliyefanya hayo. Sina ugomvi na wana JF wenzangu, first lady tupo wote, tuendeleze vita dhidi ya dhuruma na ufisadi.
wewe nilijua tu maana nimetania kuisema KG vibaya nusu unirukie nahisi tungekuwa hatutenganishwi na skrini sijui ingekuwaje!mimi Kigoma naipenda sana
maana ni mkoa wa wanangu pia ubavu niliowekewa ndo ulitoka huko!I thank MY GOD MY LORD FOR THIS!
Ila usijali ipo siku KIGOMA itakuwa juu kimaendeleo
...khaaaaa?, kumbe ndivyo alivyofanya? halafu akautaka na uraisi wa nchi, si ndio angetumaliza kabisa? ...anyway, "mcheza kwao hutunzwa, na mwamba ngoma huvutia kwake!..."
View attachment 2482
Mimi ninavyodhani tusilaumu serikali.Hapa ni uzembe wa viongozi waliochaguliwa wa kigoma wabunge na madiwani.Kama fedha za halamashauri zinaliwa na mkurugenzi madiwani wamekaa kumya au wanashiriki.unataraji nani atoke moshi kusukuma maendeleo kigoma. kama waziri ayu mbunge kutoka kigoma hatajishughulisha kupigia kelele eneo lake unategemea mbunge wa maswa afanye hivyo.Kigoma ina utajiri lakini viongozi wa huko wakichaguliwa wanajiona mabwana badala ya kuona ni dhamana waliopewa na wananchi.Katika miaka ya serikali ilitoa agizo kuwa kila mkoa una uhuru wa kutafuta wawekezaji kutoka nje na serikali itasaidia.wanaweza hata kufanya safari kwenda nje kutafuta wawekezaji.tatizo letu sisi wabongo tunapenda kuchagua viongozi wapiga maneno badala ya kuchuja utendaji wa mtu kabla ya kumchagua
ili kulea ufanisi tungeanzisha serikali za mikoa zinazojitegemea kwa kila kitu, kama vile ilivyo marekani, ili kurahisisha na kuwezesha wananchi kujiletea maendeleo yao wenyewe....!
Kwa mfano, kila mkoa ungekua na gavana wake ambaye ndio atashughulikia maendeleo ya mkoa huo na na ndie kuhakikisha mkoa unatoa pato lake kwa ajili ya kuchangaia baheti kubwa ya nchi, kitendo cha sasa cha kufanya mkoa mmoja kuwa ndio tegemeo la chanzo cha mapato ya serikali (dar es SAlaam) kunafanya mikoa mingine kushindwa kuwa wabunifu na kujitegemea na kuendelea kusubiri hela kuoka dar es salaam.
Kuna mikoa ina bandari, mito, maziwa, mbuga, maliasili lakini imekua nyuma kutokana na utegemezi au kushindwa kuendelea kutokana na kuwa na centralised polies which can not carter for all regions, dawa ni kufanya decentralization na kutoa full aoutonomous kwa serikali za mikoa ili kuzifanya zichakarike zaidi katika kutangaza vivutio vyake na kuwahamasisha wananchi wake kujiendeleza...!
Naima nimekuletea dagaa. Ila wanabei kubwa kidogo sasa hivi wanadai hawapatikani kwa wingi maana ni kipindi cha mwezi.
karibu uchukue au niwaweke kwenye PM? 😀