Niko kigoma

waaaoooo pole na safari .. nashukuru Mungu umefika salama .. dagaa nakuja mwenyewe kuchukuwa kwani kwenye PM Mods wanaweza wakaniibia hivi hivi ... siwamini ... Ahsante sana

Nimeipenda hii,kama ni kweli mchukia fisadi kamletea da naima dagaa,inapaswa kuigwa.
 
Majita weeeeeeeee siku hizi funza wako kila mahali hata huko majita wako bwana.
Si kweli kwamba watu wa kigoma woooote wana funza.
Nooooo
wengi miguu yao niliichuguza iko sawa. Ebu angalia hawa niliowapiga picha kasuru huko. Chunguza vizuri.
Kweli wana funza?





Nadhani wanashida kama ya watoto wengine wa Kitanzania. Maji shida hivyo nguo ikinunuliwa hadi ichanike hairuhusiwi kugusa maji.🙂
 
Mchongoma na Fungwe. Kigoma inapendeza saaaaaana kwa picha yako lakini naomba niwaonyeshe na baadhi ya mitaa ya mji wa Kigoma. Picha hii ni ya mtaa mmoja wapo huko katika eneo linaloitwa Mwanga.

Kweli mji unapendeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…