HahahahaKamsemee kwa babaake
Eh nilipiga mkuu sema ndo hivyo mzigo umekaa vipeleIla kupiga ulipiga na ilizama yote?
Ina sikitisha sanaKamsemee kwa babaake
ukipona usirudie uzinzi, kwa sababu gonjwa hilo aidha upone au usipone, linaendaga taratibu ivyo hivyo mwisho mdudu anaona na anakatika, au anabaki kipisi. soon tutakua na mwana jf asiye na zana. pole sana.Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
Nunua pisi mbili za bangi uende nazo kwa mkeo huku unavuta.Akikuuliza kuhusu ukurutu/,upele isingizie bangi imekupatia allergy.Case closed!Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
Mkuu hii ni serious au unanitania?ukipona usirudie uzinzi, kwa sababu gonjwa hilo aidha upone au usipone, linaendaga taratibu ivyo hivyo mwisho mdudu anaona na anakatika, au anabaki kipisi. soon tutakua na mwana jf asiye na zana. pole sana.
Duh kumbe kaswende bado ipo? DahKaswende hiyo, nenda kapime, utibiwe, uache uzinzi.
Utakoma. Shauri yako😂Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
Kwanza kama hayajavuka Masaa 72, wahi Kituo Cha Afya, upewe Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climaxa badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
DahKwanza kama hayajavuka Masaa 72, wahi Kituo Cha Afya, upewe Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI.
Hiyo ni Herpes , Herpes inawapata sana wenye UKIMWI
Kawahi CTC kabla ya masaa 72Wakuu wasalaam.
Moja kwa moja kwenye mada! Iko hivi juzi nilibutua pesa nikaamua kwenda Mwanza Kujipa pole nikatoka huku Geita vijijini Nikale Maisha kidogo.
Nikafikia kiwanja kimoja kinaitwa climax badae nikapata mtoto nikaenda kupoa nae!
Nilitumia mpila lakini Ile ya foreplay sijui nilishika kwenye nanilii yake nikashika na kwangu asalaee
Hapa napoandika huu Uzi kwenye Uume kumetokea vipele ambavyo vinatoa majimaji na vinauma hatari siku nzima sijatoka hata nje.
Ushauri hawa watu wakuokota kwenye mabar inabdi tuwaache!.
Sasa Mimi hapa mke wangu nitamwambia nn.?
Ama kweli majuto ni mjukuu.
Kama sii chai, em weka pichaWakuu wasalaam.