Niko kituo cha mwendokasi hapa Korogwe, ndani ya lisaa zimepita gari 3 tu

Common Folk

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2023
Posts
909
Reaction score
4,050
Moja la Morocco

Moja la Mbezi-Gerezani

Moja la Kimara-Gerezani


Inavyoonekana hii route ya Morogoro Road leo ina gari zisizozidi 10.

Kimsingi hali ya hii taasisi ni mbaya sanaa.
 
Haya maisha ya hovyo ni kama tumechagua. Hao wanaopita na maV8 ndio wanakula hela za miradi ya Serikali.

Simamisha moja kibabe then ulipande kwa nguvu waambie wakupeleke home.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…