Niko mawindoni UDSM

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji55]
 
Mkuuu ungejua kwanza yupo na gari gani kama amekuja na skania akikaa juu si itakua balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu ya jandoni umeyaleta uraiani! Sawa kaka.
I miss you YOMBO!
 

Nyie ndo watu kagame anawatafuta akawafunge mnaopiga p*****o
 
Wadau mi Niko Mtwara nimetoka apo dar Niko kikazi sijui nawapataje ?
Hivi nyie wazinzi si mtulize vikojoleo vyenu[emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Dah aseeer nomaaaaa sanaaaaaaa .ngoja na mm leo nivushe kamoja....ka kupozea 2nd year
 
aya sasa mkuu,vijana wamepatiwa bum.naona now kwisha habari yakooo
 
Unataka kutoa sadaka ulipojiingiza kwenye nguvu za giza ukatoe watu kafala au?
 
Mkuuu ungejua kwanza yupo na gari gani kama amekuja na skania akikaa juu si itakua balaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimecheka sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…