Niko Mbeya, Madibira Chalisuka nikaribisheni wenyeji

Niko Mbeya, Madibira Chalisuka nikaribisheni wenyeji

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,150
Wakuu habarini za asubuhi, kwema mko poa. Leo niko mkoani Mbeya kata ya Madibira kuna sehemu panaitwa chalisuka nimekuja kutembea nikaribisheni jamani niko huku jamani leo nimekuja kutembea one time.

Mazingira mazuri watu wako busy na kuuza mpunga wana hustle baadae nataka niende nikatembelee mradi wa mpunga nikatibisheni wenyeji wa huku mimi mgeni wenu leo.

Asanteni sana

#Madibira#Chalisika
 
NASIKIA MBEYA KUNA TOTOZ KALI ILA ZA KISHAMBA
 
Back
Top Bottom