Bwajilo
JF-Expert Member
- Dec 5, 2021
- 361
- 926
Ndugu zangu hapa nipo hatua za mwisho kuvuta kitu kipya, kinachonifanya niwe na furaha kupitiliza ni hii issue ya mashemeji/ mawifi zenu kila mmoja ameridhia kwa dhati wote watu tumie master room, kitanda kimoja 6x8 bila kinyongo. Mungu hawabariki wanawake Hawa kwa mioyo na subiria furaha takatifu za ndoa.
Wanawake wote mngekuwa na mioyo kama hii, wanaume tusingekufa haraka. Mlaaniwe wanawake wote mnaodhani uke wenza ni vita huku mkijua wanaume malijali tupo wachache Duniani.
Wanawake wote mngekuwa na mioyo kama hii, wanaume tusingekufa haraka. Mlaaniwe wanawake wote mnaodhani uke wenza ni vita huku mkijua wanaume malijali tupo wachache Duniani.