Niko mbioni kuoa mke wa pili na wanawake wote wamenikubalia tutumie kitanda kimoja

Niko mbioni kuoa mke wa pili na wanawake wote wamenikubalia tutumie kitanda kimoja

Mi nilikuwa ninao wanne mkuu wawili nimewaacha ila nitaongeza wengine wawili 2 kuwa na mke mmoja ni unafki tu sema wanajikaza tu ila wanajua ukweli hawa wanaume wenzetu wa upande ule wa divai na sakramenti

Ila hili wazo lako zuri ngoja nitawapanga leo niwaweke nyumba moja halafu tuongee kuhusu swala la kitanda
 
Moja ya kitu nachotamani kufanya ni kua na mke zaidi ya mmoja. Sema tu nimezaliwa ile dini ya kifo ndo kitachotutenganisha.
Fuata mila za kiafrica, achana na mambo ya dini.
 
hahaha kama ni kweli usemacho hao wanawake wana mioyo ya ajabu mnoo

kuoa mke wa pili sawa ruksa kaoe mume wangu lakini uniletee tulale kitanda kimoja hilo hapana yan hapana kwa herufi kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naufahamu uhondo wa wake wawili sema tu jau kubadili dini (kisa kuoa wake wawili). Pia ni upumbavu kubakia hii dini na kuoa mmoja afu kua na mchepuko. Niko dilemma sana.
Fanya maamuzi sahihi bro.. mke mmoja hatoshi
 
hahaha kama ni kweli usemacho hao wanawake wana mioyo ya ajabu mnoo

kuoa mke wa pili sawa ruksa kaoe mume wangu lakini uniletee tulale kitanda kimoja hilo hapana yan hapana kwa herufi kubwa
Wangu wapo tofauti Madame, Mimi mwenyewe sikuamini lakini wamenihakikishia hakuna tatizo.
 
Moja ya kitu nachotamani kufanya ni kua na mke zaidi ya mmoja. Sema tu nimezaliwa ile dini ya kifo ndo kitachotutenganisha.
Pole mkuu ila sikiliza moyo wako ukishindwa kaoe kimila
 
Bro unakosa uhondo Mimi ninao wawili nakula raha acha tu ...nitulie mke mmoja Ni mateso Sana asikwambie mtu ....
Huyo ni muhuni tu ukute ana mke na michepuko isiyo na idadi
 
Mi nilikuwa ninao wanne mkuu wawili nimewaacha ila nitaongeza wengine wawili 2 kuwa na mke mmoja ni unafki tu sema wanajikaza tu ila wanajua ukweli hawa wanaume wenzetu wa upande ule wa divai na sakramenti

Ila hili wazo lako zuri ngoja nitawapanga leo niwaweke nyumba moja halafu tuongee kuhusu swala la kitanda
Jaribu kuwapanga, Mimi nilikuwa siamini kama ingewezekana.
 
Kifupi hao wake zako wote walikuwa wanafanya 3same kila mmoja kwa wakati wake kabla hujawaoa.
Sasa unawaoa wanaona kila mmoja afanye mambo aliyozoea tena kwa uhuru kabisa.
 
Mbona kama n lugha ya kumkomoa mtu afikrie zaid kabla ya uamzi wa mbele yake , utakuwa unakulaje sasa hapo ??,kama dhihaka hivi
 
Back
Top Bottom