Hela ya kutuhusu sisi na familia sio shida, hizo nguvu za kiume sijawahi kufikiri ni tatizo.Hongera,ila jitahid kutafuta hela zaid uinjoy hao wake zako
Ila uhakkshe una nguvu za kiume za kutosha maana wanawake wasasa k zao hazisikii kabsa hata uzipelekee moto vp
Ngoja nikupe R.I.P mapema
Mhhh kumbeeeHongera,ila jitahid kutafuta hela zaid uinjoy hao wake zako
Ila uhakkshe una nguvu za kiume za kutosha maana wanawake wasasa k zao hazisikii kabsa hata uzipelekee moto vp
Ngoja nikupe R.I.P mapema
Bro unakosa uhondo Mimi ninao wawili nakula raha acha tu ...nitulie mke mmoja Ni mateso Sana asikwambie mtu ....Moja ya kitu nachotamani kufanya ni kua na mke zaidi ya mmoja. Sema tu nimezaliwa ile dini ya kifo ndo kitachotutenganisha.
Kwani we humjui yakobo.Moja ya kitu nachotamani kufanya ni kua na mke zaidi ya mmoja. Sema tu nimezaliwa ile dini ya kifo ndo kitachotutenganisha.
Naufahamu uhondo wa wake wawili sema tu jau kubadili dini (kisa kuoa wake wawili). Pia ni upumbavu kubakia hii dini na kuoa mmoja afu kua na mchepuko. Niko dilemma sana.Bro unakosa uhondo Mimi ninao wawili nakula raha acha tu ...nitulie mke mmoja Ni mateso Sana asikwambie mtu ....
Wale wafia dini wanakwambia Yesu alikuja akayatengua ya kina Abraham,Isaka,Yakobo na Mfalme Suleiman (Kuoa mke zaidi ya mmoja)Kwani we humjui yakobo.
Samahani lknNdugu zangu hapa nipo hatua za mwisho kuvuta kitu kipya, kinachonifanya niwe na furaha kupitiliza ni hii issue ya mashemeji/ mawifi zenu kila mmoja ameridhia kwa dhati wote watu tumie master room, kitanda kimoja 6x8 bila kinyongo. Mungu hawabariki wanawake Hawa kwa mioyo na subiria furaha takatifu za ndoa.
Wanawake wote mngekuwa na mioyo kama hii, wanaume tusingekufa haraka. Mlaaniwe wanawake wote mnaodhani uke wenza ni vita huku mkijua wanaume malijali tupo wachache Duniani.
Huna hata aibuNdugu zangu hapa nipo hatua za mwisho kuvuta kitu kipya, kinachonifanya niwe na furaha kupitiliza ni hii issue ya mashemeji/ mawifi zenu kila mmoja ameridhia kwa dhati wote watu tumie master room, kitanda kimoja 6x8 bila kinyongo. Mungu hawabariki wanawake Hawa kwa mioyo na subiria furaha takatifu za ndoa.
Wanawake wote mngekuwa na mioyo kama hii, wanaume tusingekufa haraka. Mlaaniwe wanawake wote mnaodhani uke wenza ni vita huku mkijua wanaume malijali tupo wachache Duniani.
Hapo sawa kidume. Pia busara na kuwatunza kwa akili kwatakiwa ama sivyo utaishia milembe!Hela ya kutuhusu sisi na familia sio shida, hizo nguvu za kiume sijawahi kufikiri ni tatizo.