Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Fuata mila za kiafrica, achana na mambo ya dini.Moja ya kitu nachotamani kufanya ni kua na mke zaidi ya mmoja. Sema tu nimezaliwa ile dini ya kifo ndo kitachotutenganisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha kama ni kweli usemacho hao wanawake wana mioyo ya ajabu mnoo
kuoa mke wa pili sawa ruksa kaoe mume wangu lakini uniletee tulale kitanda kimoja hilo hapana yan hapana kwa herufi kubwa
Fanya maamuzi sahihi bro.. mke mmoja hatoshiNaufahamu uhondo wa wake wawili sema tu jau kubadili dini (kisa kuoa wake wawili). Pia ni upumbavu kubakia hii dini na kuoa mmoja afu kua na mchepuko. Niko dilemma sana.
Wangu wapo tofauti Madame, Mimi mwenyewe sikuamini lakini wamenihakikishia hakuna tatizo.hahaha kama ni kweli usemacho hao wanawake wana mioyo ya ajabu mnoo
kuoa mke wa pili sawa ruksa kaoe mume wangu lakini uniletee tulale kitanda kimoja hilo hapana yan hapana kwa herufi kubwa
Jaribu kuwapanga, Mimi nilikuwa siamini kama ingewezekana.Mi nilikuwa ninao wanne mkuu wawili nimewaacha ila nitaongeza wengine wawili 2 kuwa na mke mmoja ni unafki tu sema wanajikaza tu ila wanajua ukweli hawa wanaume wenzetu wa upande ule wa divai na sakramenti
Ila hili wazo lako zuri ngoja nitawapanga leo niwaweke nyumba moja halafu tuongee kuhusu swala la kitanda
Sa si ungesema toka mwanzo!Sio tatizo hilo